The Anthem of Our Popular Struggle: Wimbo wa Mapambano Ya Umma

Volume 13, Issue 3  | 
Published 01/04/2017
  |

1. Kupigwa na Kupokonywa Maisha
     Hakutatuzuia sisi Wananchi
     Kunyakua Uhuru wetu
     Na haki ya jasho letu... Jasho letu X2

2. Tumekataa Kupiga Magoti
    Mbele ya hawa wauaji
    Bila shaka Sisi pia ni watu
    Hali ya utumwa tumeikataa... Kata KataX2

3. Tutanyakua Mashamba yetu
    Tupiganie Uhuru wetu
    Tuikomboe elimu yetu
    Utamaduni na viwanda vyetu... TukomboeX2

4. Sisi hatutaki kudhulumiwa
    Hatutaki tena Mauaji
    Ili Kupe Tuliangushe
    Haki Na Uhuru Zichanue... ZichanueX2
    Uuhuru weetu!!! Kenya, Wakenya ; Uuhuru weetu Wakenya, Tupiganie!
    Na Haki Zetu!


Katiba Yeetu!
Mashamba Yeetu!
Umoja Weetu!


Composed by Kang’ara wa Njambi and the Late Karimi Nduthu,
Popularized by RPP and 5Cs and Adopted at the First NCA-NCEC Plenary Session, Limuru on April 4, 1997 as the Anthem of Struggle

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.